Rayvanny afunguka kuhusu Sababu mbili za kumpa shavu Rosa Ree.

By: Frank Nickson Mapunda
May 29 2018
1
  Share on:                 

Msanii wa muziki Bongo kutoka WCB, Rayvanny ameeleza ni kwanii Rosa Ree ndiye rapper pekee wa kike katika remix ya ngoma yake ‘Pochi Nene’

Muimbaji huyo amesema kuwa kwanza amekuwa akivutiwa na muziki wa Rosa Ree, pili wimbo wenyewe ulimuhitaji Rosa Ree kutoka na aina yake ya rap.

“Nawakubali wasichana wote wanaorap lakini Rosa Ree is my favorite wangu naweza kusema lakini niliona kama atafaa zaidi kutokana na concept ya wimbo wenyewe,” .

“Ukimsikia anavyo-sound kama Nicki Minaj sio Nicki Minaj, nikaona kwenye biti kama lile ataleta vibe na ndio maana nikaamua kumuweka,” Rayvannuy .

Poch Nene Remix imewakutanisha wasanii kama Khaligraph Jones, Godzilla, Rosa Ree, Izzo Bizness, Country Boy, Young Dee na Wakorinto.


Maoni
64x64

EZEKIEL MGAYA

Jun 16 2018

haya mondi nimekusoma ya kizaz sanaa hiii ila rock fm mmetisha sanaa

Acha maoni yako