Kikwete, Ridhiwan washindwa kuhudhuria harusi ya Ali Kiba.

Apr 19 2018
0
  Share on:                 

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wameshindwa kuhudhuria harusi ya mwanamuziki wa Bongo fleva nchini, Ali Kiba anaye...

Mwanaume aliyefanyiwa upasuaji kupandikizwa uso Ufaransa

Apr 18 2018
0
  Share on:                 

Baada ya kuishi kwa miezi miwili bila uso, mwanaume mmoja raia wa Ufaransa, Jérôme Hamon amefanyiwa upasuaji kwa mara ya pili wa kupandikizwa uso. ...

Mvua zaendelea kuleta madhara nchini.

Apr 18 2018
0
  Share on:                 

Mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbali mbali nchini zimeendelea kuleta madhara mkoani Rukwa, ambapo zimesababisha uharibifu wa mashamba ya vyakula n...

Mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani George H W Bush Afariki Dunia

Apr 18 2018
0
  Share on:                 

Mke wa rais wa 41 wa Marekani, George H W Bush, mama Barbara Bush ambaye pia alikuwa mwanaharakati amefariki dunia. Mama Bush ambaye pia ni mama wa...

Wachunguzi wa sumu Hatimaye Wameruhusiwa Kuingia Syria

Apr 18 2018
0
  Share on:                 

Wachunguzi wa kimataifa leo Aprili 18 wameingia katika mji wa Syria uliokumbwa na kile kinachodaiwa kuwa ni shambulizi la sumu. Hata hivyo, wachun...

Sakata la RC Makonda: Mch. Msigwa amvaa Jerry Muro, ni tuhuma za kumtelekeza mtoto.

Apr 11 2018
0
  Share on:                 

Mbunge wa Iringa mjini kupitia tiketi ya Chadema, Mch. Peter Msigwa amezidi kukana madai ya kumtelekeza mtoto na kueleza kuwa taarifa hizo zinaenezwa ...