Polisi Wafanya Doria Moshi...Hali Iko Salama, Hakuna Maandamano.

Apr 26 2018
0
  Share on:                 

Makundi ya askari wakiwa wamebeba silaha, yameonekana leo asubuhi katika maeneo mbalimbali mjini Moshi. Katika maeneo mbalimbali ikiwamo Soko la M...

Hali ya Usalama Iringa Iko Shwari, Diwani mmoja Katiwa Mbaroni

Apr 26 2018
0
  Share on:                 

Hali ya usalama mkoani Iringa leo imeendelea kuwa shwari licha ya tishio la maandamano yaliyotarajiwa kuwepo huku ulinzi ukiimarishwa katika baadhi y...

Benki ya Dunia yajitosa suala la mafuriko Jangwani, Dar es Salaam.

Apr 21 2018
0
  Share on:                 

Benki ya Dunia (WB) itashirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za mafuriko zinazosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha kila mw...

Aliyemtukana Rais Magufuli Ahukumiwa Miaka Mitatu Jela.

Apr 21 2018
0
  Share on:                 

Wakili wa Kujitegemea Leonard Kyaruzi amehukumiwa kulipa faini ya Sh. 5,000,000 au kwenda jela miaka mitatu. Alikutwa na hatia ya kumkashifu Rais...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja n...

DPP alifunga jalada la kesi ya mauaji ya Akwilina.

Apr 20 2018
0
  Share on:                 

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwil...