Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mzee wa miaka 71 na watu wengine watatu baada ya kukutwa na Nyaraka bandia za serikali 240 ambazo ...

Wanakijiji waua Mamba 300 kulipiza kisasi.

Jul 17 2018
0
  Share on:                 

Moja ya stori ya kuifahamu ni hii Kundi la wanakijiji limewaua karibu mamba 300 kwenye makao ya wanyama katika mkoa wa West Papua nchini Indonesia. ...

RC Makonda apata mtoto wa kiume, mastaa wampongeza.

Jul 17 2018
0
  Share on:                 

Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amejifungua mtoto wa kiume kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa kupitia mtandao wa Instagram. Mapema ...

Ambulance kubeba Mirungi Waziri Ummy atoa agizo

Jul 13 2018
0
  Share on:                 

Ikiwa ni siku mbili baada ya kukamatwa kwa gari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) ya Hospitali ya Wilaya ya Tarime ikiwa imebeba Kilo 800 za Dawa za Kul...

Waziri Mahiga:Tanzania itaendelea kushiriki katika ulinzi wa amani duniani

May 29 2018
0
  Share on:                 

Siku ya Walinda Amani Duniani huadhimishwa tarehe 29 Mei ya kila mwaka ambapo kaulimbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni “Ulinzi wa Amani wa Umo...

Watu 50 wamefariki nchini DR Congo leo

May 25 2018
0
  Share on:                 

Watu 50 nchini DR Congo wamefariki baada ya boti kuzama kwenye mto kaskazini mwa nchi hiyo. Naibu Gavana wa jimbo la Tshuapa amesema kuwa boti hilo...