Waziri Mkuu Akemea Uvuvi Haramu Ziwa Victoria.

Feb 18 2018
0
  Share on:                 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekemea vitendo vya uvuvi haramu wa kutumia sumu kali ndani ya ziwa Victoria kwa sababu vinaharibu soko la samaki. Ali...

Waziri Mwakyembe ataka Bodi ya filamu na kamati ya maudhui TCRA kukaa pamoja.

Feb 17 2018
0
  Share on:                 

Bodi ya Filamu Tanzania imeagizwa kukaa pamoja na Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuangalia namna watakavyokubaliana k...

RC Makonda apiga marufuku ukamataji wa bodaboda kwa kuvamia.

Feb 13 2018
0
  Share on:                 

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ametoa onyo kali kwa kampuni zinazofanya kazi ya kukamata pikipiki (bodaboda) kwa mtindo wa kuvamia kitend...

Chama cha Wafanyakazi Champinga Rc Makonda

Feb 13 2018
0
  Share on:                 

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (Talgwu) kimelaani kitendo kikichofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda cha kuwavua madarak...

NEC: Maandalizi Ya Uchaguzi Yanakwenda Vizuri

Feb 12 2018
0
  Share on:                 

Zikiwa zimebaki siku 6 kabla ya Uchaguzi Mdogo wa Majimbo ya Siha, Kinondoni na Kata 8 kufanyika, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema maandalizi kwa aji...

Makamu wa Rais atoa neno kuhusu kupunguza foleni Hospitalini.

Feb 12 2018
0
  Share on:                 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inajitahidi kujenga na kutanua vituo vya Afya ikiwa na l...