Breaking News: Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3319

Apr 26 2018
0
  Share on:                 

Rais Magufuli katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319 ambapo wafungwa 585 wataachiwa huru leo, na 2,734...

Breaking News: Rais Magufuli aipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji.

Apr 26 2018
0
  Share on:                 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 2...

Tundu Lissu Amvaa Spika Ndugai Baada ya Kudai Hakufuata Taratibu.

Apr 21 2018
0
  Share on:                 

Mbunge Tundu Lissu amefunguka na kudai sheria ya uendeshaji wa Bunge halijaweka masharti yeyote ya kupatiwa fedha za matibabu kama alivyo tangaza Spik...

Bajeti Wizara ya Afya Yafyekwa.

Apr 20 2018
0
  Share on:                 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, imesema mpaka kufikia Februari mwaka huu, Serikali ilikuwa imetoa Sh bilioni 576.52 pekee kati ya Sh tri...

Rais Magufuli awahoji CAG, Katibu Mkuu kuhusu Sh1.5 trilioni Zinazodaiwa Kupotea.

Apr 20 2018
0
  Share on:                 

Rais Joh Magufuli amewanyanyua Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG), Profesa Mussa Assad na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dot...

Makamu wa Rais Samia amefanya mazungumzo na Prince William

Apr 18 2018
0
  Share on:                 

Jana April 17, 2018 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Prince William katika jumba la Kifal...