Emmerson Mnangagwa anayetarajiwa kumrithi Mugabe ataapishwa Ijumaa

Nov 22 2017
0
  Share on:                 

Makamu wa zamani wa rais wa Zimbabwe, ambaye kufutwa kwake kazi kulishababisha kujiuzulu kwa kiongozi wa muda mrefu Robert Mugabe, ataapishwa rasmi Ij...

Makamu wa rais wa Zimbabwe akataa kurudi nyumbani.

Nov 22 2017
0
  Share on:                 

Wakati Emmerson Mnangagwa alipofutwa kazi wiki mbili zilizopita hakuwa makamu wa rais wa pekee nchini Zimbabwe Phelekezela Mphoko ni makamu wa rais...

Jenerali Constantine Chiwenga aliyechukua mamlaka ya rais Mugabe.

Nov 21 2017
0
  Share on:                 

Jenerali Constantine Chiwenga, mwenye umri wa miaka 61, anasifiwa kama mkombozi wa kisiasa baada ya kuongoza mchakato wa jeshi wa kuchukua mamlaka nch...

Mahakama Kuu Kenya Yatupilia Mbali Kesibza Kupinga Ushindi wa UhurubKenyatta.

Nov 20 2017
0
  Share on:                 

Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi zilizofunguliwa na wafuasi wa NASA za kupinga ushindi wa Urais wa Uhuru Kenyatta, kwenye uchaguzi ...

Bunge la Zimbabwe kujadili hatma ya Mugabe.

Nov 20 2017
0
  Share on:                 

Chama tawala cha Zanu-Pf nchini Zimbabwe kimewataka wabunge wake kukutana na kujadili hatma ya rais Robert Mugabe, baada ya siku ya mwisho ya yeye kuj...

Raila Odinga:Hatutambui ushindi wa Uhuru Kenyatta.

Nov 20 2017
0
  Share on:                 

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amezungumzia kuhusu uamuzi uliotolewa na mahakama ya juu wa kuidhinisha uchaguzi wa Uhuru K...