Uchaguzi mkuu Urusi: Vladimir Putin kuwania tena urais.

Dec 06 2017
0
  Share on:                 

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kuwa atawania kiti cha urais kwa mara nyingine tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao wa 2018. Alitangaza ...

Viongozi wa Wapalestina wametaja hatua inayosubiriwa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuutambua mji wa Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel kuwa hatari k...

Wakuu wa jeshi wateuliwa kuwa mawaziri Zimbabwe

Dec 01 2017
0
  Share on:                 

Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amelitaja baraza lake la mawaziri akimteua afisa mkuu wa jeshi kwa wadhfu mkuu katika serikali yake. Wazir...

Upinzani nchini Kenya waandaa kongamano siku ya kuapishwa Rais Kenyatta.

Nov 27 2017
0
  Share on:                 

Umoja wa Vyama vya upinzani nchini Kenya, NASA umeandaa Kongamano siku ya Jumanne tarehe 28 Novemba 2017, siku ambayo Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa...

Mugabe 'anaendelea vizuri' baada ya kujiuzulu.

Nov 27 2017
0
  Share on:                 

Mpwa wa Robert Mugabe anasema kiongozi huyo wa zamani wa Zimbabwe ana raha na afya njema licha ya kulazimishwa kujiuzulu wiki hii baada ya kutawala kw...

Kujiuzulu kwa Mugabe: Kimya kirefu cha rais Zuma chawashangaza wengi.

Nov 22 2017
0
  Share on:                 

Kimya kirefu cha rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma pamoja na chama chake tawala cha ANC kufuatia kujiuzulu kwa Robert Mugabe kinashangaza. Kinaonyes...