Upelelezi juu ya Mauaji ya Kimbari Rwanda umemlaumu Rais Kagame kuhusika.

Dec 23 2017
0
  Share on:                 

Majaji nchini Ufaransa wamewalaumu wapiganaji walioongozwa na Rais wa sasa wa Rwanda, Paul Kagame kwa kuilenga na kuiangusha ndege iliyokuwa imembeba ...

ANC inamchagua kiongozi mpya Afrika Kusini.

Dec 18 2017
0
  Share on:                 

Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimewaidhinisha wagombea wawili kuwania kumrithi Rais Jacob Zuma katika uongozi wa chama. Wagombea hao ni mak...

Democrat wawashinda Republican huko Alabama.

Dec 13 2017
0
  Share on:                 

Doug Jones amakuwa mwanasiasa wa kwanza wa Democrat katika kipindi cha miaka 25 kushinda kiti cha Seneta katika jimbo la Alabama nchini Marekani baada...

Nkurunziza ‘huenda akaongoza’ Burundi hadi 2034.

Dec 13 2017
0
  Share on:                 

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amezindua kampeni ya kufanyika kwa kura ya maamuzi ambayo inatazamwa na jaribio la kutaka kusalia madarakani hadi 20...

Erdogan:Mataifa yanafaa kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Wapalestina

Dec 13 2017
0
  Share on:                 

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameyahimiza mataifa ya Kiislamu kuutambua mji wa Jerusalem kama "mji mkuu wa taifa la Wapalestina unaokaliwa na t...

Trump matatani ukatili wa kijinsia

Dec 12 2017
0
  Share on:                 

Wanawake watatu wamemtuhumu rais Donald Trump kwamba aliwafanyia ukatili wa kijinisa miaka iliyopita kabla hajawa rais.Hivyo baraza la Congress kumchu...