Yoweri Museven:“Ninampenda Trump, anasema ukweli mtupu”

Jan 25 2018
0
  Share on:                 

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amehutubia katika ufunguzi wa Bunge la Afrika Mashariki jijini Kampala na kusema kuwa anampenda sana Rais wa Marekani ...

Mkhitaryan kusaidia matibabu kwa wenye Kansa.

Jan 23 2018
0
  Share on:                 

Ikiwa ni saa chache baada tu ya kutua Arsenal akitokea Manchester United, Henrikh Mkhitaryan amesema atatumia jezi ya Man U ili kusaidia matibabu ya w...

Kenya yakasirishwa na ripoti ya EU kuhusu uchaguzi uliopita.

Jan 11 2018
0
  Share on:                 

Serikali ya Kenya imekasirishwa na ripoti iliotolewa na kiongozi wa Muungano wa Ulaya kuhusu uchaguzi mkuu wa urais mwaka uliopita. Marietje Schaak...

Uhuru Kenyatta atangaza Baraza la Mawaziri Kenya.

Jan 06 2018
0
  Share on:                 

Miezi miwili baada ya kuhifadhi kiti chaka cha Urais, Uhuru Kenyatta ameanza kuunda baraza lake jipya kwa kuwateua tena mawaziri sita wa zamani. Ak...

Rouhani amjibu Trump na kusema ni adui wa Iran.

Jan 02 2018
0
  Share on:                 

Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema rais wa Marekani ni adui mkuu wa taifa hilo kuanzia utosini hadi kwenye unyayo. Ameyasema hayo akijibu ujumbe wa r...

Guatemala kuhamisha ubalozi wake kwenda Jerusalem

Dec 25 2017
0
  Share on:                 

Rais wa Guatemala Jimmy Morales ameamrisha ubalozi wa nchi hiyo nchini Israel kuhamishwa kwenda Jurusalen. Katika ujumbe kupitia Facebook, Bw. Mora...