Mwanasheria mkuu Kenya ajiuzulu.

Feb 13 2018
0
  Share on:                 

Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Profesa Githu Muigai amejiuzulu nafasi hiyo aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka sita. Na tayari Rais Uhuru Kenyatta amemteua ...

Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48.

Feb 13 2018
0
  Share on:                 

Chama Tawala Nchini Afrika Kusini (ANC) kimempa masaa 48 rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kujiuzulu katika nafasi yake ya urais. Kwa mujibu wa Shirika ...

Korea Kusini yatoa masharti kabla ya kukubali mualiko wa Kim Jong-un

Feb 11 2018
0
  Share on:                 

Waziri mkuu wa Korea kusini Lee Nak-yeon amebaini wazi kwamba kuna masharti ambayo lazima yabainishwe kabla ya kukubali mwaliko wa uongozi wa nchi hiy...

Wafanyakazi waanza kukatwa mishahara kufadhili uchaguzi wa 2020

Feb 04 2018
0
  Share on:                 

Wafanyakazi wa umma nchini Burundi wameanza kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kwaajili ya kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwaka 2020. Katik...

Trump amemwambia Kagame “Tafadhali fikisha salamu zangu”

Jan 27 2018
0
  Share on:                 

Marekani Donald Trump amemuomba Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) kufikisha salamu zake kwa viongozi we...

Bill Gates amtaka Trump kujifikiria kuhusu '‘Marekani Kwanza’'

Jan 26 2018
0
  Share on:                 

Tajiri Bill Gates amemuonya rais wa Marekani Donald Trump kwa kauli mbiu yake ya “Marekani Kwanza” kuwa inaweza kuharibu ushawishi wa nchi hiyo kw...