Donald Trump amwalika rais wa Palestina Mohamud Abbas.

Mar 11 2017
0
  Share on:                 

Ikulu ya white house inasema kwamba rais Donald Trump amemwalika kiongozi wa Palestina, Mohamud Abbas, nchini Marekani hivi karibuni. Bwana Trump a...

Trump asema Obama alikuwa akidukua simu yake.

Mar 04 2017
0
  Share on:                 

Rais wa Marekani Donald Trump amemshutumu mtangulizi wake kwa kudukua simu yake mwezi mmoja kabla ya kuchaguliwa kuliongoza taifa hilo. Rais Trump ...

Trump amlaumu Obama kwa maandamano.

Feb 28 2017
0
  Share on:                 

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaamini kuwa Barack Obama ndiye anahusika na maandamano dhidi ya uongozi wa Republican. "Nafikiri Rais Obama...

Raia wa Ufaransa wamtaka 'Obama kuwania urais nchini humo'.

Feb 28 2017
0
  Share on:                 

Ombi la mtandao la kumtaka Barrack Obama kuwania urais katika uchaguzi mkuu nchini Ufaransa limewavutia takriban wafuasi 42,000. Mabango ya kampeni...

Trump na Netanyahu wajadili masuala mbalimbali ikiwemo amani

Feb 16 2017
0
  Share on:                 

Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika ikulu ya nchi hiyo na kusema atahakikisha makubaliano ya a...

AL Shabab yadai kuua askari wa nchini Kenya

Jan 27 2017
0
  Share on:                 

Kundi la kigaidi la nchini Somalia AL Shabab limesema wapiganaji wake wameua vikosi vya askari wa Kenya walivyovivamia katika eneo la kificho katika k...