Cuba kumaliza uhaba wa sukari Tanzania

26 2017
0
  Share on:                 

Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Viwanda vya Sukari nchini Cuba, Bw. Francisco Lled, ambaye amekubali kushirikian...

China yapiga marufuku bidhaa za Korea Kaskazini.

15 2017
0
  Share on:                 

China imesema itasitisha mpango wa kununua makaa ya mawe, chuma na chakula cha baharini kutoka Korea Kaskazini. Hatua hiyo ni ya utekelezaji wa vik...

Waziri Mwijage Acharuka, Avifunga Viwanda 10 kwa Kushndwa Kuendelezwa

11 2017
0
  Share on:                 

Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, amesema serikali imeanza utekelezaji wa awamu ya kwanza ya kutwaa viwanda walivyopewa w...

TRA yatoa angalizo kwa wafanyabishara wadanganyifu.

10 2017
0
  Share on:                 

Mamlaka ya mapato nchini(TRA) imewatahadharisha wafanyabishara wenye tabia ya udanganyifu katika kulipa kodi wasijaribu kuchezea mashine za kiilektron...

Mfumuko wa bei washuka nchini.

10 2017
0
  Share on:                 

Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa kipindi cha Julai mwaka huu umepungua hadi kufikia asilimia 5.2 kutoka asilimia 5.4 ...

Rais Magufuli ataka VAT iondolewe kwenye miradi ya ufadhili.

10 2017
0
  Share on:                 

Rais John Magufuli ameziagiza wizara za Fedha na Mipango na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi kuandaa mapendekezo na kupeleka bungeni mwa...