Mfumuko Wa Bei Wa Taifa Wa Mwezi Septemba, 2017 Umeongezeka Mpaka Asilimia 5.3 .

Oct 10 2017
0
  Share on:                 

Mfumuko wa bei umeongezeka kwa kutoka aslimia 5.0 Agosti hadi 5.3, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, ...

Dangote Amtahadhariha Rais Magufuli Kuhusu Sera Mpya za Uwekezaji.

Oct 10 2017
0
  Share on:                 

Tajiri namba moja barani Afrika Aliko Dangote ambaye pia ni mwekezaji mkubwa hapa nchini amemtahadhariha Rais John Pombe Magufuli kuwa sera zake mpya...

China yafunga makampuni ya Korea Kaskazini.

29 2017
0
  Share on:                 

China imeyaambia makampuni ya Korea Kaskazini yaliyo nchini mwake kufunga, wakati inajaribu kutekeleza vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya taifa hil...

Tanzania yasamehewa deni la Bilioni 445 na Brazil

18 2017
0
  Share on:                 

Serikali ya Brazil imeisamehe Tanzania deni Dola 203milioni ambazo sawa Bilioni 445 ambalo limetokana na mkopo uliotolewa kwaajili ya ujenzi wa baraba...

Mafuta ya Taa Yashuka, Petrol, Dizeli Bei Juu

06 2017
0
  Share on:                 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya ya bidhaa za mafuta ya petroli nchini, ambapo kuanzia leo bei za rejare...

Mifuko ya plastiki yapigwa marufuku Kenya.

28 2017
0
  Share on:                 

Serikali ya Kenya imeanza kutekeleza marufuku ya mifuko ya plastiki nchini humo baada ya juhudi za miaka mingi za kutaka kuipiga marufuku bila mafanik...