JM LUXURY COACH BUSES WALETA MABASI MAPYA

Mar 06 2017
0
  Share on:                 

Kampuni ya mabasi ya JM Luxury Coach imeleta mabasi mengine mapya katika mkakati wake wa kuboresha huduma ya usafiri kwa wasafiri wote nchini. Akizung...

Uchumi wa Nigeria ulishuka zaidi mwaka uliopita 2016.

Feb 28 2017
0
  Share on:                 

Takwimu mpya zinaonyesha kuwa uchumi wa Nigeria ulishuka kwa asilimia 1.5 mwaka jana wa 2016, huku taifa hilo likikabiliwa na hali mbaya ya mdororo wa...

Aliyejiongezea mshahara mkubwa Afrika Kusini afutwa kazi

Feb 28 2017
0
  Share on:                 

Afisa mmoja wa serikali nchini Afrika Kusini ambaye alijiongezea mshahara wa asilimia 350 amefutwa kazi. Collins Letsoalo alipewa wadhifa huo ili a...

Raisi Magufuli-EPA ni ukoloni mwingine.

Feb 27 2017
0
  Share on:                 

Rais John Magufuli amemweleza Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kwamba Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi na Jumuiya ya Ulaya (EPA) ni aina mpya ya ukolon...

Kiwanda cha Kagera Sugar chapigwa faini ya shilingi millioni 10.

Feb 24 2017
0
  Share on:                 

Siku moja baada ya kiwanda cha kusindika minofu ya samaki cha Kagera Fish kilichopo eneo la Kemondo mjini Bukoba kutozwa faini ya shilingi milioni kum...

Mradi wa mabasi yaendayo haraka waingiza faida ya bilioni 9

Jan 27 2017
0
  Share on:                 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene amesema kuwa mradi wa mabasi yaendayo haraka mkoani...